SIASA ZASHEHENI KWENYE MAZISHI YA CYRUS JIRONGO
Автор: COCO FM RADIO
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 91
Hafla ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Lugari kaunti ya Kakamega Cyrus Jirongo, yageuzwa kuwa jukwaa la kuonyeshana ubabe wa kisiasa huku kitendawili cha kifo chake kikisubiri wa kukitegua.
Jirongo amezikwa nyumbani kwake Lumakanda, Kakamega na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwemo rais mstaafu Uhuru Kenyatta.
#MionziyaCocoFM
#COCOFM
#ladhayapwani
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: