WAWILI WAFARIKI DUNIA KWENYE AJALI MBILI TOFAUTI MOROGORO
Автор: CHIVIHI MEDIA
Загружено: 2025-11-21
Просмотров: 60
Watu wawili wamefariki dunia hapo hapo kufuatia ajari gari aina roli iliyotokea maeneo mawili tofauti ikiwemo msamvu Manispaa ya Morogoro na nanenae eneo la mzambarauni huku wakazi wa Morogoro wakiomba upanuzi wa barabara ya Morogoro -Dar-es-slaam kutokana na ajali za mara kwa mara.
mashuhuda wa ajali hiyo wakiwemo madereva wa magari ya mizigo wamesema kuwa kutokana na ufinyu wa barabara unasababisha ajali za mara kwa mara huku waathirika wakuu wakiwa ni boda boda.
Insert.....Azizi kapilima mkazi wa Morogoro
Insert....Agrey mwakipesile dereva
Insert...... Martin Idd dereva boda boda
Kwa upande wake kaimu afisa uhusiano kutoka hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro Scolastika Ndumba amethibitisha kupokelewa kwa mihili hiyo na tayali imehifadhiwa hospitalini hapo.
Insert...... Scolastika Ndumba kaimu afisa uhusiano kutoka hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: