MTWARA DC DADAZ WAWASHIKA MKONO WATOTO WENYE UTI WA MGONGO NA KICHWA KIKUBWA MSANGA MKUU
Автор: CHIVIHI MEDIA
Загружено: 2025-11-08
Просмотров: 286
Watumishi wa halmashauri ya Mtwara DC wamefanya matendo ya huruma kwa kutoa msaada wa kiti mwendo kwa mtoto Yazidu mwenye tatizo la uti wa mgongo ili kimuwezeshe kwenda shule.
Hayo yamefanyika leo November 8,2025 katika kijiji cha Msangamkuu wilaya ya mtwara pamoja na m,ahitaji mengine ikiwemo sabuni ya kufulia na kuogea, maharage na unga wa lishe.
Sambamba na hilo wametoa msaada wa brenda ya kusagia vyakula kwa mtoto Alkam mwnye umri wa miaka 10 amabye ana changamoto ya kichwa kikubwa kinachiojaa maji.
wakizungumza na chivihi media wazazi wa watoto hao pamoja na mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha msangamkuu watoa shukrani zao kwa kikundi cha Dadaz Mtwara DC kwa kutoa msaada huo huku wakiiomba jamii kujitolea kuwasaidia wenye uhitaji kwa kidogo walichojaaliwa ili kuwafariji wengine.
Tufuate instagram, TikTok, Facebook na WhatsApp chenel @chivihimedia. Subscribu YouTube chenel yetu uwe mjanja na wakwanza kupata habari zetu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: