BODA BODA ATAKAYEHUSIKA KUVUNJA AMANI TUTAMFUTA UANACHAMA
Автор: CHIVIHI MEDIA
Загружено: 2025-11-16
Просмотров: 55
#HABARI: Uongozi wa chama cha waendesha pikipiki (boda boda) mkoa wa Mtwara, umetoa rai kwa waendesha pikipiki na bajaji wote kuto andamana kwa kile kinachosemwa katika mitandao ya Kijamii.
Onyo hilo limetolewa leo November 16 na Mshamu Ally katibu wa Chama hicho katika kikao Cha kuhamisha amani kwa boda boda wa mkoa wa Mtwara kwenye viwanja vya mashujaa Manispaa ya Mtwara Mikindani, ambapo ameeleza kuwa Chama hicho kitatoa adhabu kali kwa yeyote atakayeandamana ikiwemo kufutwa uanachama wa Chama hicho.
Tufuate Instagram, TikTok, Facebook na WhatsApp channel @chivihimedia. Subscribe YouTube channel yetu uwe mjanja na wakwanza kupata habari zetu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: