WANANCHI WA BUCHOSA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAJENGEA CHUO CHA UFUNDI STADI (VETA)
Автор: MWANZA RS TV
Загружено: 2023-11-11
Просмотров: 150
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. CPA Amos Makalla amevuka milima na mabonde kufika kwenye Kijiji cha Kayenze kilicho pembezoni mwa Mji wa Nyegunge kwenye halmashauri ya Buchosa kukagua ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA).
Akizungumza na wananchi kwenye eneo hilo la ujenzi Mhe. Mkuu wa Mkoa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha zaidi ya Bilioni 3 kujenga chuo hicho ambapo amebainisha kuwa kitawajenga kiufundi katika fani mbalimbali vijana wa Buchosa na wilaya ya Sengerema kwa ujumla.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: