DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Mchana | Januari, 23 2026 | Swahili News
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 3514
Tuliyokuandala katika Dunia Yetu Leo Mchana siku ya leo ni pamoja na:-
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameukosoa Umoja wa Ulaya kwa kukosa “nia ya kisiasa” kukabiliana na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin.
Viongozi wa Ulaya wameonyesha mashaka kuhusu “Bodi ya Amani” iliyoanzishwa na Rais Donald Trump, ingawa wamesema wako tayari kushirikiana na Marekani kuhusu Gaza.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast #dwkiswahiliasubuhi #Matangazo #DuniaYetu #dwswahilinews
Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: