SI KWELI ISRAEL WAMEZIDIWA NI UONGO,KUNA MAHANDAKI YA KISASA MARCEL
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 1121
Juni 19/ 2025, macho na masikio ya dunia yalielekezwa Mashariki ya Kati kufuatia mvutano mkubwa kati ya Iran na Israel. Jeshi la Israel lilithibitisha kutekeleza shambulio dhidi ya kinu cha nyuklia cha Arak, likisema hakikuwa kinafanya kazi. Operesheni hiyo ilihusisha zaidi ya ndege 40 za kivita zilizolenga maeneo ya kijeshi ikiwemo viwanda vya kutengeneza malighafi, maeneo ya kuunganisha makombora ya balistiki pamoja na miundombinu ya ulinzi wa anga wa Iran.
Tukio hilo liliibua mjadala mpana wa kimataifa kuhusu sababu za mataifa ya Magharibi, yakiongozwa na Marekani, kupinga vikali hatua za Iran na msimamo wao dhidi ya Iran kumiliki au kurutubisha nyuklia. Haya yalionyesha hofu ya usalama wa dunia, mizani ya nguvu za kijeshi, na hatari ya kuenea kwa silaha za nyuklia katika eneo lenye historia ndefu ya migogoro.
#Repost #MfumoLeo #19Juni2025 #OnThisDay #IranIsrael #MiddleEast #GlobalPolitics #NuclearTension #WorldSecurity #tmcnews565
Endelea kuwa nasi—usiondoke. TMC News TV inakuletea kila hatua, kila sauti, na kila ujumbe muhimu moja kwa moja.
👍 Like video zetu ili kuona kila taarifa muhimu haraka!
🔔 Subscribe sasa na usikose kila update mpya.
📤 Share na marafiki na familia ili kila mtu apate ukweli.
💬 Comment chini na tuambie maoni yako—tuna thamini sauti yako!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: