Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali ya kisasa part 8
Автор: Suitland Tailoring College
Загружено: 2023-02-27
Просмотров: 1763
Hapa utajifunza kukata na kushona Suruali kwa Umbo la Mtu Mwembamba, Umeshaelekezwa kukata nguo kwenye vipimo vya Mtu mnene utajifunza Kuchonga Kiuno, Kupima Paja Na Kupima Lisani Sasa hapa utajifunza kukata kitambaa cha mbele na Nyuma nyuma kwa mtu mwembamba yaan model utajifunza kukata Goti, Chini, Dats na mifuko ya nyuma
#suitland
1#jifunze kushona-Jinsi ya kukata kitambaa cha Suruali Kiuno, Paja, Body/Hips na Lisani Episode namba Moja ..... • Stiching tutorial for beginners | Jifunze ...
2#suitland kushona-Jinsi ya kukata kitambaa cha Suruali Goti, Chini, Dats na mifuko ya nyuma Epsode ya Pili Link............. • Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali...
3#jifunze Jinsi ya kukata kitambaa cha Suruali Mtu Mwembamba Goti, Chini, Dats na mifuko ya nyuma........... • Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali...
4#jifunze Work-Shop Room-Jinsi ya kushona Suruali Vifaa Unavotakiwa kuwa navyo ............... • Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali...
5#jifunze Work-Shop Room-Jinsi ya kushona Suruali Kugundisha Mifuko, Overlock, Belt, lisani na Dats.................. • Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali...
6#jifunze Work-Shop Room-Jinsi ya kushona Mifuko ya mbele Ya Suruali
..................... • Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali...
7#jifunze Work-Shop Room-Jinsi ya Kushona Zipu Na kuweka Lisani .............. • Jifunze Jinsi yakukata na kushona Suruali...
USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA COMMENT NA KU-LIKE @suitland @samtsui
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: