JIONEE MIUNDOMBINU YA BANDARI KAVU YA KWALA
Автор: MAELEZO TV
Загружено: 2023-03-20
Просмотров: 4079
Bandari Kavu ya Kwala ni ya Kimkakati kwa sababu eneo la Kwala lina miradi mingi ya kimkakati ambayo imeanza kutekelezwa ikiwemo ujenzi wa viwanda mbalimbali na ujenzi wa Mji mpya wa Kwala, hivyo ni matarajio kuwa mizigo ya Wawekezaji kutoka nchi mbalimbali inayokwenda kwenye viwanda itachukuliwa hapo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: