ZAIDI ya BILIONI 80 ZINATUMIKA KUJENGA BANDARI ya MBAMBA BAY - WANANCHI WAFURAHIA.....
Автор: Global TV Online
Загружено: 2024-12-07
Просмотров: 3417
ZAIDI ya BILIONI 80 ZINATUMIKA KUJENGA BANDARI ya MBAMBA BAY - WANANCHI WAFURAHIA.....
Serikali ya Awamu ya Sita imepongezwa kwa kutoa fedha zaidi ya Shilingi Bilioni 80 kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Mbamba Bay Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma ambayo ujenzi wake upo kwenye hatua za awali
Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa bodi ya wakuregenzi wa shirika la Uwakala wa meli Tanzania TASAC Nahodha Mussa Mandia wakati bodi hiyo ilipofanya ziara ya kukagua utoaji wa huduma za bandari katika Ziwa Nyasa,Huku Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Peres Magili akieleza Manufaa wanayoenda kuyapata
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO https://chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: