RC MBONI MHITA AWATAKIA WANANCHI WA SHINYANGA KRISMASI NJEMA, ASISITIZA AMANI, UPENDO NA USALAMA
Автор: MISALABA MEDIA
Загружено: 2025-12-24
Просмотров: 65
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, leo Desemba 24,2025 amewatakia wananchi wa Mkoa huo Krismasi njema iliyojaa amani, upendo na mshikamano, huku akisisitiza umuhimu wa kusherehekea kwa utulivu, kuwakumbuka wenye uhitaji na kudumisha usalama katika kipindi hiki cha sikukuu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: