RC MBONI MHITA AWATIMUA KAZINI WAHANDISI 3 SHINYANGA kwa KUSHINDWA KUKAMILISHA MIRADI ya MAENDELEO..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 2404
RC MBONI MHITA AWATIMUA KAZINI WAHANDISI 3 SHINYANGA kwa KUSHINDWA KUKAMILISHA MIRADI ya MAENDELEO..
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Mboni Mhita amewasimamisha kazi watumishi watatu ambao ni Wahandisi wa halmashauri ya Shinyanga kwa kushindwa kusimamia kikamilifu utekelezaji wa miradi mbalimbali na kusababisha kusuasua kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo na utovu wa nidhami.
RC Mhita ametoa kauli hiyo wakati wa kikao na viongozi wa wilaya na halmashauri, madiwani na wakuu wa idara katika halmashauri ya Shinyanga kilicholenga kutathimini hali ya ukusanyaji wa mapato na kukumbushana jukumu la kila mmoja katika kutumikia wananchi.
@Flora Masalu
CC;JUMA KAHEMELA
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: