MUAMKO WA WATU KWENDA KUSALI ULAYA SI SAWA NA ILIVYO AFRICA - PADRI MIKU
Автор: Selie Network
Загружено: 2025-10-19
Просмотров: 146
Talk to Diaspora show week hii tumefanya mazungumzo ya ana kwa ana na padri Francis Miku, anayehudumu nchini Germany kwa zaidi ya miaka kumi, mengi ametueleza kuhusiana na huduma yake, maisha kwa ujumla vile anavyoyaona lakini ametoa wito hususani kwa vijana wa Tanzania kuamka na kuzichangamkia fursa zilizopo nchi za Ulaya.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: