RC Kheri James, Achachuka, Awabananisha Kwenye Kikao Kizito Watumishi Miradi Kusuasua Kilolo Iringa
Автор: Focus TV Tanzania
Загружено: 2025-10-04
Просмотров: 16388
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Kheri James, alionesha kutoridhishwa na hali, kasi, ubora na maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa ambapo kutokana na uzito wa jambo hili, aliagiza watu wote watoke nje, wabaki maafisa na wahandisi ambao ndio wahusika wakuu katika ujenzi wa miradi hiyo ili kifanyike kikao kizito chenye mahojiano ya kina kati ya Mkuu huyo, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa pamoja na watumishi hao kuhusu kusuasua kwa miradi hiyo iliyotengewa fedha nyingi kutoka Serikalini kwa maslahi ya Wananchi.
Matukio hayo yalitokea Oktoba 01, 2025 katika ziara ya RC Kheri James kukagua maendeleo na hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa ujenzi wa miradi inayolenga kutoa na kusogeza karibu huduma za Afya na Elimu kwa wananchi katika Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.
Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest.
Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma.
Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments.
Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). {TCRA/OMST/0071/2023}
#FocusTVTanzania
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team Focus TV Tanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: