Jinsi ya kupika Zebra Cake hatua kwa hatua
Автор: Fau Delicious
Загружено: 2024-11-15
Просмотров: 32844
Jinsi ya kupika Marble cake kwa njia rahisi kwa hatua kwa hatua.
Keki hii ya zebra ni tamu na Rahisi sana kutengeneza muhimu ni kufuata vipimo tu
Ingredients
.unga 600g
.mayai 9
.Sukari 400g
.Cocoa powder 10g
.maziwa mls 10
.Baking powder vijiko 2 vya chai
.Ariki ya Vanilla kijiko 1 cha chai
.Arki Bubble gum kijiko 1 cha chai
.Arki ya Ice cream kijiko 1 cha chai
#Marble keki
#Keki ya Zebra
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: