Jinsi ya Kupika KEKI kwa KIPIMO cha KIJIKO | KEKI ya VIJIKO 12 TU
Автор: BelsFarm Kitchen Swahili
Загружено: 2024-05-10
Просмотров: 3577
keki. jinsi ya kupika keki nyumbani. jifunze jinsi ya kupika keki kwa urahisi kwa kipimo cha Kijiko. mahitaji yake Ni Rahisi Sana kwa kila familia.
MAHITAJI;-
Unga was ngano (vijiko 12 vya chakula)
mafuta ya kupikia (vijiko 12 vya chakula)
MAZIWA (vijiko 12 vya chakula)
sukari (vijiko 12 vya chakula)
mayai 3
baking powder (vijiko 2 vya chai)
chumvi (Kijiko 1 cha chai)
limao 1/2
ganda la limao (vijiko 2 vya chakula)
#keki #cake #jinsiyakupikakeki #njiarahisiyakupikakeki #kekiyavijiko12 #12spoonscake
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: