Navy Kenzo walitosa mamilioni ya Universal Music, walikata tamaa Vanessa akawarudisha - Part 2
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2020-11-02
Просмотров: 25108
Sehemu ya pili ya #ChillnaSky na Navy Kenzo (Aika na Nahreel) ambapo wanazungumzia mafanikio ya album yao ya pili Story of the African Mob, kwanini waliutosa mkataba mnono wa Universal Music Group, walivyokata tamaa ya muziki na kujipanga kurudi shule lakini Vanessa Mdee akawashawishi waendelee kufanya muziki na mengine
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: