IBADA YA SIKU YA KWANZA YA MWAKA MPYA 01/01/2026
Автор: KKKT DKMS Online TV
Загружено: 2026-01-01
Просмотров: 170
Made with Restream. Livestream on 30+ platforms at once via https://restream.io
Unatazama Mubashara Ibada ya Siku ya Kwanza ya Mwaka Mpya 2026. Ibada hii inaongozwa na Neno Kuu lisemalo: “Uso wa Bwana Uende Pamoja Nasi.”
Ibada hii inakujia moja kwa moja kutoka Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania– Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs) , Jimbo la Pwani, Usharika wa Kana, ikiongozwa na Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu.
📅 Tarehe: 01/01/2026
Masomo.
Zaburi. 144: 9-15
Yn. 15:1:5
Kut. 40: 34-38
TMW. 262
Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii
INSTAGRAM - / elctned
FACEBOOK ACCOUNT North Eastern Diocese
FACEBOOK PAGE - ELCT-North Eastern Diocese
YOUTUBE - / KKKT DKMS Online TV
WEBSITE: www.elctned.org
KWA MAONI NA USHAURI:
Simu : +255 743 399 798.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: