OMO mazikoni Gamba leo | GUMZO UPDATES
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 3400
Makamu wa Kwanza Mstaafu wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Alhaj Othman Masoud Othman, leo Jumanne, Novemba 25 2025, amejumuika na Waumini wengine wa Kiislamu pamoja na Wananchi, katika Maziko ya Marehemu Bw. Makame Ali Wadi, huko Gamba Majenzi, Wilaya ya Kaskazini A Unguja.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: