BHAJIA | Jinsi ya Kupika BAGIA Tamu za DENGU zisizonyonya MAFUTA
Автор: BelsFarm Kitchen Swahili
Загружено: 2024-06-14
Просмотров: 472
bagia za dengu. jinsi ya kupika bagia za dengu Tamu zisizonyonya mafuta. mahitaji yake Ni Rahisi kwa kila familia.
MAHITAJI;-
Unga wa dengu (robo kilo)
karoti 1
kitunguu maji 1
hoho 1
kiazi mviringo 1
kitunguu swaumu (nusu kijiko)
tangawizi (nusu Kijiko)
Curry powder (Kijiko 1 cha chai)
baking powder (Kijiko 1 cha chai)
chumvi (Kijiko 1 cha chai)
maji
#bagia #bhajiya #bhajia #jinsiyakupikabagiazadengu #bagiazadengu #belsfarmkitchenswahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: