LEAT Yahakikisha TFS Wanakuwa Wabobezi Katika Ugani na Uenezi.
Автор: Mazingira TV
Загружено: 2025-09-22
Просмотров: 39
Mafunzo kwa Maafisa Ugani wa TFS yanaendelea! Mafunzo haya yanalenga kuwaongezea uwezo katika masuala ya ugani na uenezi, ili kuhakikisha taarifa sahihi na mbinu bora za usimamizi endelevu wa misitu zinawafikia jamii kwa urahisi. Mradi huu unalenga kuimarisha ushirikiano kati ya maafisa ugani na wananchi, kuongeza uelewa kuhusu umuhimu wa uhifadhi wa misitu, na kuchochea matumizi bora ya rasilimali kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.
Tuunge mkono juhudi hizi za kulinda na kuhifadhi misitu yetu kwa pamoja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: