Maafisa Misitu na Wahifadhi Waoongezewa Maarifa Katika Usimamizi wa Sheria ya Misitu
Автор: Mazingira TV
Загружено: 2024-12-06
Просмотров: 161
LEAT yaendelea kujengea uwezo maafisa misitu na wahifadhi kutoka katika taasisi mbalimbali ikiwemo TFS na Wizara ya Maliasili katika Usimamizi wa Sheria ya Misitu unaozingatia haki za binadamu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: