Taswira ya shule za Kiharu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-08-28
Просмотров: 85871
Zaidi Ya Shule 100 Za Msingi Na 61 Za Sekondari Za Kutwa Katika Eneo Bunge La Kiharu Zimepata Sura Mpya Katika Muda Wa Miaka 7. Juhudi Za Kuimarisha Sekta Ya Elimu Katika Eneo Bunge Hilo Zinalenga Kuinua Viwango Vya Elimu Na Kuwasawazisha Wanafunzi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: