UJENZI BARABARA YA MNIVATA-NEWALA-MASASI KM 160 MIKATABA YASAINIWA
Автор: Khomein Tv
Загружено: 2023-06-21
Просмотров: 332
Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamesaini Mikataba ya ujenzi wa Barabara ya Mnivata-Newala-Masasi Kilometa 160 inayojengwa kwa kiwango cha lami, na Wakandarasi Wawili kutoka nchini China kwa ajili ya kuanza ujenzi huo.
Zoezi hilo limefanyika leo Juni 21, 2023 katika uwanja wa Sabasaba wilayani Newala, ambapo Wakandarasi Wawili kutoka China wamepewa jukumu hilo ambao ni kampuni ya China Wu Yi Co. Ltd atakayejenga sehemu ya Mnivata-Mitesa Km 100 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 141.964 na China Communications Construction Co. Ltd atakaejenga sehemu ya Mitesa-Masasi Km 60 pamoja na daraja la Mwiti kwa gharama ya Shilingi Bilioni 92.548.
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU Khomein Tv YOUTUBE UWE WAKWANZA KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: