Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

BARABARA, RELI KIKWAZO MAENDELEO YA BANDARI YA KAREMA

Автор: The Katavi Independent

Загружено: 2023-03-19

Просмотров: 3087

Описание:

The Kavavi Independent || Changamoto ya miundombinu hususani ya barabara na reli kutoka Mpanda kwenda katika eneo la Bandari ya Karema iliyopo Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi imepelekea meli za mizigo kutotia nanga katika bandari hiyo.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Jerry Silaa, walipotembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Bandari ya Karema, unaotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA).

Akiongoza Kamati hiyo Mwenyekiti Silaa amesema tokea Bandari hiyo ifunguliwe rasmi septemba 2022 hadi sasa imeingiza kiasi cha shilingi milioni nne na laki nane ambazo amesema ni kiasi kidogo ukilinganisha na uwekezaji uliofanyika wa shilingi Bilioni 47.97

Amesema kukamilika kwa miundombinu hiyo itasaidia malori yanayopeleka mizigo Congo badala ya kupita njia ya Tunduma yatapita njia ya Mpanda na kwenda hadi Karema na baada ya kufika Bandari ya Karema ni rahisi kufika Bandari ya Karemii iliyopo Congo katika Jimbo la Rubumbashi.

Silaa amesema mpango wa Serikali ni kujenga barabara ya kilomita 110 kutoka Kijiji cha Kagwira hadi katika bandari ya Karema pamoja na kujenga reli kutoka Mpanda hadi Karema.

Ameishauri serikali kuongeza kasi ya ujenzi na utunzaji wa miradi hiyo kwa kuwa Bandari imekwisha kamilika kwa asilimia mia moja.

BARABARA, RELI KIKWAZO MAENDELEO YA BANDARI YA KAREMA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

WABUNGE WATEMBELEA BANDARI YA KAREMA ZINAKOJENGWA MELI KUBWA NNE

WABUNGE WATEMBELEA BANDARI YA KAREMA ZINAKOJENGWA MELI KUBWA NNE

KATAVI: MELI 4 ZA MIZIGO UJENZI UMEANZA BANDARI YA KAREMA.

KATAVI: MELI 4 ZA MIZIGO UJENZI UMEANZA BANDARI YA KAREMA.

🔴#LIVE: RAIS SAMIA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA MPANDA MKOANI KATAVI

🔴#LIVE: RAIS SAMIA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA MPANDA MKOANI KATAVI

ULIPOFIKIA UJENZI BANDARI YA KAGUNGA KIGOMA ITAKAYOHUDUMIA NCHI TATU

ULIPOFIKIA UJENZI BANDARI YA KAGUNGA KIGOMA ITAKAYOHUDUMIA NCHI TATU

Chciał rozbioru Polski, stracił wszystko. Kleszcze Lubomirskiego

Chciał rozbioru Polski, stracił wszystko. Kleszcze Lubomirskiego

УЖЕ ЗАВТРА! Зеленский отправился на ПЕРЕГОВОРЫ с ТРАМПОМ! РЕШАЮЩАЯ встреча для УКРАИНЫ!

УЖЕ ЗАВТРА! Зеленский отправился на ПЕРЕГОВОРЫ с ТРАМПОМ! РЕШАЮЩАЯ встреча для УКРАИНЫ!

BANDARI YA KAREMA YATOA NEEMA KWA WANANCHI.

BANDARI YA KAREMA YATOA NEEMA KWA WANANCHI.

Mpanda Town Tour 2023 part 2

Mpanda Town Tour 2023 part 2

BANDARI YA KAREMA YAKAMILIKA..

BANDARI YA KAREMA YAKAMILIKA.. "MELI ZA MSCL ZASUBILIWA KUCHANGAMSHA BIASHARA"

Инженерное чудо под названием Панамский канал

Инженерное чудо под названием Панамский канал

⚡ Атака на Киев: повреждено более 10 домов! Как восстанавливают инфраструктуру?

⚡ Атака на Киев: повреждено более 10 домов! Как восстанавливают инфраструктуру?

TỐI 27/12: Lật xe từ thiện ở Lào Cai, 18 người thương vong; Thưởng Tết TPHCM cao nhất 1,8 tỷ đồng

TỐI 27/12: Lật xe từ thiện ở Lào Cai, 18 người thương vong; Thưởng Tết TPHCM cao nhất 1,8 tỷ đồng

TANGANYIKA IKO TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI 2026.

TANGANYIKA IKO TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI 2026.

Получают ли 100 тыс. руб. дворники-мигранты из Индии в Питере?

Получают ли 100 тыс. руб. дворники-мигранты из Индии в Питере?

Mpanda Town Tour (2023)

Mpanda Town Tour (2023)

КАК РОЗВИВАЛАСЬ ПРОМЫШЛЕННОСТЬ СССР?! ПОЧЕМУ ЭТА СТРАНА ОТСТАВАЛА ОТ ВСЕГО МИРА?!

КАК РОЗВИВАЛАСЬ ПРОМЫШЛЕННОСТЬ СССР?! ПОЧЕМУ ЭТА СТРАНА ОТСТАВАЛА ОТ ВСЕГО МИРА?!

RC MRINDOKO AKAGUA DARAJA LA IKONDAMOYO, ATOA WITO WA ULINZI NA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

RC MRINDOKO AKAGUA DARAJA LA IKONDAMOYO, ATOA WITO WA ULINZI NA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU.

ДОЖДАЛИСЬ? В РОССИЮ ВЕЗУТ ДЕСЯТКИ ТЫСЯЧ РАБОЧИХ ИЗ ИНДИИ — ЧТО ЖДЁТ МОСКВУ И РЕГИОНЫ

ДОЖДАЛИСЬ? В РОССИЮ ВЕЗУТ ДЕСЯТКИ ТЫСЯЧ РАБОЧИХ ИЗ ИНДИИ — ЧТО ЖДЁТ МОСКВУ И РЕГИОНЫ

СТАЛИН СКРЫЛ ПРАВДУ: КТО НА САМОМ ДЕЛЕ СПАС МОСКВУ В 41-ом

СТАЛИН СКРЫЛ ПРАВДУ: КТО НА САМОМ ДЕЛЕ СПАС МОСКВУ В 41-ом

Новый поезд «Буревестник» | Первый рейс | Москва – Нижний Новгород

Новый поезд «Буревестник» | Первый рейс | Москва – Нижний Новгород

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]