Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akamatwa na polisi
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-10-22
Просмотров: 9200
Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amekamatwa na polisi katika viunga vya Mahakama Kuu, ya Dar es Salaam, alikokuwa amefika kufuatilia kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: