Uchaguzi Tanzania 2025- Watanzania wataka nini hasa? | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-10-21
Просмотров: 1015
Kurunzi Live leo inaangazia Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 unaokaribia nchini Tanzania. Je, ni jambo gani moja ungetaka libadilishwe, liboreshwe au lizikwe kabisa kwenye kaburi la sahau? Watanzania wanataka nini hasa? Lau ungepewa dakika 5 kuzungumza na mgombea urais, ni jambo lipi moja ungetaka alielewe kuhusu maisha ya Mtanzania wa kawaida? Je, ni kuhusu elimu? Huduma za afya? Ajira kwa vijana? Rushwa? Au mfumo wa kodi? Tupe maoni yako na usikose kushiriki mjadala pia Live saa kumi jioni kwenye Facebook na YouTube - #Uchaguzi2025 #WatanzaniaWanasema #MabadilikoYetu #SautiYaMtanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: