DK MWINYI ASIMAMISHA MAELFU YA WANANCHI KWA SHANGWE MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2025-01-12
Просмотров: 5026
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi alivyowasili kusalimia wananchi katika kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar leo Jumapili Januari 12, 2025. Bada ya kuwasili uwanjani hapo amepokelewa kwa shangwe na nderemo kutoka kwa wananchi waliojitokeza kwenye maadhimisho hayo yenye historia ya Zanzibar.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: