KAYUMBA BSS: Nilipewa GARI SKREPA/ Nimedhulumiwa NYUMBA/ Madam Ritha TUNAMDAI mpaka laki 5 ya SHOW
Автор: Carrymastory
Загружено: 2020-04-10
Просмотров: 230316
MSHINDI WA BSS MWAKA 2015 Kayumba amefunguka ya moyoni figisu alizofanyiwa kwenye zawadi zake ikiwa alikabidhiwa vitu ambavyo akiangalia gharama yake haifiki milioni 50. ameongezea na kusema hamlaumu sana Madam Ritha maana huwenda yeye anatoa Zawadi alafu watu wanafanya ujanja amemuomba awe makini na watu anaowapa Zawadi wawakabidhi washindi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: