Maafisa wa usalama wakutana na wenye bodaboda Namanga
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2019-10-01
Просмотров: 1465
Maafisa wa polisi, viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wahudumu wa boda boda katika mji Namanga kaunti ya Kajiado waliandaa kikao cha pamoja mjini humo kujadili namna ya kushirikiana ili kuboresha usalama katika maeneo hayo ya mipakani.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: