Wafanyibiashara wafunga mpaka wa Kenya Na Tanzania wakilalamikia kuzuliwa kwa malori ya mahindi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2023-06-07
Просмотров: 65940
Hali ya Taaruki imetanda kwenye mpaka wa Kenya Na Tanzania katika mji wa Namanga baada ya Wafanyibiashara wa mahindi pamoja na mawakala kufunga mpaka huo wakilalamikia kuzuliwa Kwa malori ya mahindi nchini Tanzania Kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Wafanyibiashara hao wanadai kuwa Serikali ya Tanzania imezuia malori zaidi 500 upande wa mpaka wa Tanzania kwasababu hayakuwa na vibali vya kusafirisha mahindi Kutoka Tanzania.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: