MAKALA | Uvuvi wa teknolojia ya vizimba Ziwa Victoria
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-02-28
Просмотров: 662
Wavuvi katika Mwalo wa Nyarusurya Manispaa ya Musoma Mkoani Mara wameiomba serikali kuwasaidia katika uwekezaji wa Uvuvi wa Vizimba ili kuhakikisha wanafikia Malengo ya Uvuvi huo kuwa na tija.
Wamesema Uvuvi huo utasaidia kupunguza vitendo vya uvuvi haramu vinavyoendelea katika ZIWA VICTORIA na hivyo kupata kwao mtaji utasaidia kuufanya kisasa uvuvi huo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: