MJUE PATRICE LUMUMBA
Автор: Platform Media
Загружено: 2026-01-16
Просмотров: 31
PATRICE EMERY LUMUMBA NINANI?
Kuna watu waliishi maisha mafupi,lakini wakaacha historia ndefu.
Kuna viongozi waliuawa kimwili,lakini mawazo yao yakabaki hai.
Leo, tunamzungumzia mtu mmoja,ambaye sauti yake iliogopesha mabwana wa dunia.
Jina lake ni Patrice Emery Lumumba.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: