MWL. GOODLUCK MUSHI-MOYO WAKO SIO STOO YA KUTUNZIA MAUMIVU, LINDA MOYO WAKO.
Автор: KKKT KARIAKOO
Загружено: 2021-09-23
Просмотров: 3955
Mpendwa jaza moyo wako kwa neno la Mungu kwa wingi. Mioyo yetu inawakilisha utu wa ndani basi jali sana unachoweka weka ndani ya moyo wako .. Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo; Maana ndiko zitokako chemchemi za uzima.
HUU NI MWENDELEZO WA SOMO LINALOENDELEA
#kkktkariakoomorningglory
MAJIRA YA KUSAIDIWA NA BWANA KATIKA
NJIA YAKO DUNIANI.
(KWA HIYO HATULEGEI)
ZABURI 124:8
2KORINTO 4:16-18
EBRANIA 11:1
1PETRO 4:17
Kwa mlio mbali karibu Subscribe ili tuungane pamoja kupitia Youtube Channel yetu (KKKT KARIAKOO) katika ibada zetu zote #LIVE. Pia waweza kufuatilia mafundisho mafupi mafupi kupitia Instagram (@lutheran_kariakoo)
~-~~-~~~-~~-~
Please watch: "Moto@KKKT KARIAKOO "
• Moto@KKKTKARIAKOO
~-~~-~~~-~~-~
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: