Jinsi ya kuandaa kisamvu dawa nzuri ya utitili na viroboto
Автор: Ben Kukufarm
Загружено: 2024-10-07
Просмотров: 8503
Majani ya mihogo (kisamvu) ni dawa nzuri sana kwaajili ya kuuwa wadudu sumbufu wa kuku yaani viroboto na utitili katika video hii utajifunza jinsi ya kuandaa kisamvu ili kumaliza tatizo la utitili na viroboto katika nyumba ya kuku ili kuku wako wawe salama sana jifunze ili upunguze gharama za kutumia dawa za madukani
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: