Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

FAMILIA YA MAREHEMU JOKHA YATOA WITO WA HAKI KUFUATIA VIDEO ILIYOSAMBAA BAADA YA AJALI YA MIGOMBANI

Автор: ASAM Online TV

Загружено: 2025-10-23

Просмотров: 30664

Описание:

Mtazamaji wa Asam Online TV, utakumbuka kuwa mnamo tarehe 30 Septemba, kulitokea ajali mbaya ya gari katika maeneo ya Migombani, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, ajali ambayo ilisababisha vifo vya watu watatu, akiwemo marehemu Jokha Azizi Ghalib.

Baada ya ajali hiyo, video mbalimbali zilisambaa kwenye mitandao ya kijamii, zikimuonyesha marehemu akiwa katika sehemu ya kuhifadhia maiti, huku mtu anayedaiwa kurekodi video hiyo akitamka maneno yasiyofaa na yenye kuudhi, jambo lililoibua masikitiko makubwa kwa jamii.

Familia ya marehemu Jokha imejitokeza na kuomba mamlaka husika kuchukua hatua kali dhidi ya wale wote waliohusika na tukio hilo, wakieleza kuwa kitendo hicho kinakiuka misingi ya utu, maadili na haki za binadamu.

Familia hiyo imesisitiza kuwa heshima kwa wafu ni jambo la msingi katika jamii, na kwamba watu wote wanapaswa kutumia mitandao ya kijamii kwa uwajibikaji na uadilifu, badala ya kudhalilisha marehemu na kuumiza wafiwa.

#AsamOnlineTV #Migombani #AjaliZanzibar #HakiKwaJokha

FAMILIA YA MAREHEMU JOKHA YATOA WITO WA HAKI KUFUATIA VIDEO ILIYOSAMBAA BAADA YA AJALI YA MIGOMBANI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

HABARI KAMILI KUHUSU VIJANA WALIOKAMATWA PAJE KWA KUKIUKA MILA NA DESTURI

WAUGUZI WAWILI LUMUMBA WASIMAMISHWA KAZI KUPISHA UCHUNGUZI SAKATA LA MTOTO

MZEE FUJO ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUSHAMBULIWA KWA MAPANGA KWEREKWE

🔴#Live: “AJIRA ZA UONGO! MAAJENTI WA KIJANJA NA MATESO YA MABINTI OMAN”-WASAIDIZI WA KAZI WAFUNGUKA

FAMILIA  WATOA NENO ZITO / MAMBO SIRI

FAMILIA WATOA NENO ZITO / MAMBO SIRI

KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI

MTANGAZAJI MAARUFU ZANZIBAR AUMBE RASHID AZIKWA MAKABURI YA MWANAKWEREKWE

GARI LILILOBEBA KONTENA LASABABISHA AJALI MBAYA NA KUUWA WATU - AMANI ROUND ABOUT

NILIKATAA kufanya MAPENZI na Mwanaume Mwenzangu nikamwagiwa TINDIKALI

Watoto wa Muammar Gaddafi: Walipo sasa, waliokimbia, waliouawa na waliofungwa

ПИНКУС: ВОТ КТО СЛИЛ плёнки Уиткоффа-Ушакова! Трамп ОШАРАШИЛ Украину по войне. СДЕЛКИ не будет?

KABLA YA KUUMBWA DUNIA ALLAH ALIKUA WAPI?// SHEIKH OTHMAN MAALIM

ЖЕНЩИНА, УМЕРШАЯ В АРУШЕ, БУДЕТ ПОХОРОНЕНА. БРАТЬЯ РАСКРЫВАЮТ, ЧТО ЕЕ УБИЛО, БУДЕТ НАЗВАНО.

Bibi Mzungu wa Miaka 55 Kutoka Ulaya Kaacha familia Na Kufuata Penzi La Kijana mdogo Kenya

BILLIONEA MKUBWA MOROGORO ASIMUA KWA UCHUNGU ALIVYOFIRISIKA KISA KUKOSEA MASHARTI  UTAMUONEA HURUMA

FAMILIA YA MAREHEMU JOKHA WAMWAGA MACHOZI WAKILAANI KITENDO CHA UDHALILISHAJI.

MKASA,KIJANA ALIYEFUNGWA MIAKA 30 KESI YA KUSINGIZIWA KUMBAKA BOSS WAKE

НОВОЕ НАПОМИНАНИЕ: БРАК ЭСМЫ РАСПАДЕН / САЛЕХЕ ОЧЕНЬ НЕПРАВ / ШУ НАШЛА ЕГО, ЕЙ НУЖНО УЗНАТЬ

KUTOKA JESHINI AFISA MDOGO WA KIKOSI MPAKA KUWA FUNDI UJENZI MTAANI ASIMULIA MAZITO

КРОВАВЫЙ ПУТЬ ЧЕРЕЗ ПУСТЫНЮ! ЗОЛОТО, МЕСТЬ И БЕСПРАВИЕ ДИКИХ ЗЕМЕЛЬ!

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]