MZEE FUJO ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUSHAMBULIWA KWA MAPANGA KWEREKWE
Автор: ASAM Online TV
Загружено: 2025-11-23
Просмотров: 8843
Mzee Mussa Abdallah Musa, maarufu kama Musa Fujo, mkazi wa Mwera Skuli, Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, amenusurika kifo baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa mapanga na watu wasiojulikana.
Tukio hilo limetokea maeneo ya Kwerekwe Kwa Kificho wakati Mzee Mussa akiwa njiani kuelekea katika shughuli zake za kila siku za kutafuta riziki. Inadaiwa kuwa wavamizi hao walimshambulia ghafla na kumsababishia majeraha makubwa kichwani na mkononi.
Jeshi la polisi linatarajiwa kufanya uchunguzi zaidi ili kubaini wahusika na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: