Serikali imepeleka vikosi maalum na silaha hatari Laikipia kukabiliana na wavamizi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-09-12
Просмотров: 232078
serikali ililazimika kupeleka asasi za kiusalama hatari kwenye eneo la Ol Moran kaunti ya Laikipia ili kupambana na wahalifu waliozua taharuki kwa majuma kadhaa sasa. Maafisa wa kitengo cha GSU walifika eneo hilo kwa wingi wakiwa wamejihami kwa oparesheni ya kiusalama. Stephen Letoo anaangazia zaidi kuhusu kujihami kwa vikosi hivi kwa oparesheni
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: