WATOTO wa walivyo sherehesha katika shangwe za nadhiri Kagondo Bukoba.
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2024-11-21
Просмотров: 2143
Watoto wa Shirika la Kipapa walivyosherehesha katika sherehe za Nadhiri kwa Masista wa shirika la Mabinti wa Bikira Maria Mama wa Msaada wa Daima (BMMMD) Kagondo, Jimbo Katoliki Bukoba.
Misa imeadhimishwa na Mhashamu Jovitus Mwijage, Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba, katika Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa dhambi ya asili-Kagondo.
Ni Masista 13 wakiwemo (6) wa Nadhiri za kwanza, (5) wa nadhiri za daima na Masista (2) wa Jubilei ya miaka 25.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: