MRADI WA KUZUIA UPOTEVU WA MAZAO KWA WAKULIMA MKOANI KATAVI
Автор: VOAGTV
Загружено: 2025-01-02
Просмотров: 136
Kampuni ya HELVETAS AFRICA iliendesha mafunzo kwa wakulima wa mkoa wa Katavi juu ya uhifadhi mazao ili kuzuzia upotevu wa mazao shambani. Wakulima hao walipewa elimu juu ya matumizi ya mifuko ya kinga njaa ambayo inashauriwa kutumika na wakulima katika kuhifadhi mazao kwa usalama zaidi. Katika makala hii utaweza kuwasikia wakulima wakiongea juu ya faida walizozipata baada ya kuanza kutumia mifuko hii ya kinga njaa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: