KEEN FEEDER'S LIMITED KUTOKA ARUSHA KWENYE MAONESHO YA POULTRY SHOW 2024 DAR ES SALAAM.
Автор: VOAGTV
Загружено: 2024-10-23
Просмотров: 314
Kampuni ya KEEN FEEDER'S LIMITED kutoka Arusha ni kampuni inayojihusisha na wakulima pamoja na wafugaji wakiwa wamejikita zaidi patika pembejeo mbalimbali. Kwenye wafugaji wanavyo virutubisho ambavyo vinasaidia ukuaji na uzalishaji pia hasa kwa wafugaji wa kuku, ng'ombe na nguruwe. Katika maonesho ya poultry show wamekuja kuonyesha bidhaa zao zinazotumika na wafugaji hasa wa kuku, bidhaa ambzo zinasaidia ukuaji wa kuku, uzalishaji wa mayai bora lakini pia kumkinga na magonjwa mbakimbali.
KEEN FEEDER'S wanapatikana Arusha na wanna branches katika maeneo tofauti tofauti nchi nzima.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: