ROHO ZA WAAMINI MAREHEMU
Автор: Fr.Makoria
Загружено: 2025-11-04
Просмотров: 1979
TITLE: ROHO ZA WAAMINI
MTUNZI: Fr. Evarist Makoria Mlingi
WAIMBAJI: Kwaya ya Watoto ya Mt. Gemma Galgani
AUDIO: Eng. Aaron
VIDEO: The Galaxy Pro Studio
Karibuni tusikilize na kuimba pamoja na watoto hawa wakiwaombea ndugu zetu waamini Marehemu. wimbo huu unaweza kuimbwa Kwenye Ibada za Mazishi na hasa kuimbwa Mwezi Novemba kwani ni Mwezi wa Kuwaombea marehemu.
Ad Majorem Dei Glorium - Yote Kwa ajili ya Sifa na Utukufu wa Mungu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: