LIVE 🔴 FURSA YA KUFUNDISHA KISWAHILI NJE YA NCHI | Maisha ya Czech Republic | Sehemu ya 1
Автор: Kiswahili ni Urithi
Загружено: 2023-12-08
Просмотров: 247
Karibu kufuatilia mazungumzo yanayolenga fursa ya kufundisha Kiswahili kwa wageni na nje ya nchi. Leo nimezungumza na Chris ambaye ni Mtanzania anayeishi nchi ya Jamhuri ya Czech na anayefundisha lugha ya Kiswahili na Kiingereza.
Unaweza kufuatilia chaneli yake kupitia https://youtube.com/@ChrisZLC?si=eIzS...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: