Ushuhuda wa Bi.Veronica Urio juu ya ubora wa mbolea za Yara kwa kilimo cha mpunga-Dakawa(Morogoro)
Автор: Yara Tanzania
Загружено: 2021-08-02
Просмотров: 2280
Bi.Veronica Anael Urio ni mkulima wa zao la mpunga katika kijiji cha Dakawa,mvomero mkoani Morogoro aliyepata mafanikio baada ya kuanza kutumia mbolea za Yara katika kilimo chake.Alitumia Programu ya Yara ya Lishe Kamili na Linganifu ambayo ni:-
Wiki 1 baada ya kupandikiza-(YaraMila OTESHA kilo 50 kwa ekari)
Wiki 2 baada ya kupandikiza-(YaraVita CROP BOOST lita 1 kwa ekari)
Wiki 3 baada kupandikiza-(YaraVera AMIDAS kilo 50 kwa ekari)
Kabla ya mimba dume-(YaraLiva NITRABOR kilo 50 kwa ekari)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: