TANZANIA BARA INAFAIDIKA NA ZANZIBAR
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2022-06-27
Просмотров: 14928
#SERIKALITATU #KATIBAMPYA #MFUMOWASERIKALI #MUUNGANO #MAKAMUWAKWANZARAISWAZANZIBAR #OTHMANMASOUD
"Nini Zanzibar inaweza kushirikiana na Tanzania Bara katika misingi ya kiuchumi ukitazama Tanzania Bara inaweza kufaidika Sana na Zanzibar Kwa sababu ya historia yake, mahali ilipo. Kama walivyoona wenzetu wa Wachina Wana Visiwa vyao kama Macau ni Visiwa ambavyo havijawahi kuwa nchi huru ni sehemu ya China miaka yote lakini Kwa sababu ya mahitaji ya kiuchumi wameweza kuvifanya vile ndio maana wana policy ya nchi moja mifumo tofauti. Kwa mazingira ya Visiwa viachwe vijiendeshe Kwa misingi inayokubalika Kwa uchumi wa visiwa na wamefaidika Sana. Ukitazama China uwekezaji mkubwa umetoka kwenye Visiwa hivyo" Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe Othman Masoud.
#HakunaKuleft
#LiveOnClouds360
Tazama LIVE 📺 @Cloudstv kupitia | Azam channel no 403| Dstv no 387| Startimes no 109| antenna/497
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: