EPISODE 2: Majina ya Mungu Yafunuliwa! (God’s Names Revealed) | MJUE SANA MUNGU Series
Автор: Binti Sayuni 50
Загружено: 2025-07-29
Просмотров: 156
EPISODE 2: Majina ya Mungu Yafunuliwa! (God’s Names Revealed)
Katika sehemu hii ya pili ya mfululizo wa MJUE SANA MUNGU, tunaingia kwa kina kujifunza kuhusu majina ya Mungu na maana yake katika maisha yetu ya kila siku.
📖 Utafundishwa kuhusu:
Umuhimu wa majina – jinsi majina ya Mungu yanavyofunua tabia, kusudi na mapenzi Yake
Faida za kuyajua majina ya Mungu – yanaongeza imani, huleta ufunuo, na hutoa nguvu za kiroho
Majina mbalimbali ya Mungu – kama El Shaddai, Jehovah Rapha, na maana zake
🙏 Usikose nafasi hii ya kipekee ya kumjua Mungu kwa undani kupitia majina Yake!
🔔 LIKE, SUBSCRIBE & SHARE video hii na wengine ili ujumbe huu uwafikie wengi zaidi.
#swahiligospel #adonai #elohim #nenolamungu #mjuesanamungu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: