🔴🆕LIVE- IBADA YA JUMAPILI ASUBUHI | REV DAVID BATENZI FPCT KITANGIRI LIVE SERVICE.
Автор: FPCT Kitangiri Mwanza
Загружено: 2025-10-25
Просмотров: 594
Thanks for tuning in.
We are broadcasting live from Mwanza Tanzania.
we are live every Sunday at 0730EA GMT .
Please like, share , subscribe and let others know that we are live.
FPCT Kitangiri does not own some of the original Music played here.
be blessed
Asante kwa kushiriki nasi.
Tunarusha matangazo haya mubashara kutoka Mwanza Tanzania.
Tupo mubashara kila Jumapili saa moja na nusu asubuhi.
Kumbuka kubonyeza kitufe cha like na kuwajulisha watu wengine kuwa ibada zetu ni mubashara kupitia mitandao ya kijamii, Youtube na facebook.
Barikiwa
#FPCT
#HUIMABAND
#COVENTRYCHRISTIANFELLOWSHIP CHURCH.
#EmmanuelChatawe
#sheffieldcommunitychurch
#coventrychristianfellowshi4381
#citychurchcoventry1307
#PastorMathewandRuthLing
@DAVID BATENZI
#NORMANMUGALAVICENT
#PCU
0:00 Intro
3:10 89 Najua jina moja tu | Nyimbo za wokovu.
9:16 Sifa na utukufu ni zako | Nyimbo za sifa
17:35 Haja ya moyo wangu | Nyimbo za sifa
31:27 Ukaribisho na utambulisho wa ibada
38:10 Sikiliza nikuambie | Mass choir
43:31 Maombi ya shukrani na mahitaji
49:20 Tupo hapa Bwana | Mass choir
59:28 Matangazo ya kanisa
1:17:20 Wewe ni mkuu | Nyimbo za sifa
1:21:27 Niumbie Moyo safi | Nyimbo za sifa
1:28:00 Somo: Kusifu na kuabudu ni huduma inayo tuingiza katika uwepo wa Mungu | MWJ. Emmanuel Mambo
2:22:37 Umeketi Mahali pa Juu. | nyimbo za sifa.
2:32:10 Natamani nikuone | Nyimbo za sifa.
2:43:20 Haleluya lisifuni jina lake. | Mass Choir.
2:51:10 Tunaimba Haleluya | Mass choir
2:57:40 Shukrani kutoka uongozi HSM.
3:01:27 Matangazo na kufunga
3:10:26 Ontro
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: