DC SEMINDU AWAITA VIJANA MBULU/ AWATAKA WAUPOKEE MWENGE WA UHURU/ WAAMBIWA WAO NI NGUVU YA TAIFA
Автор: Dar24 Media
Загружено: 2025-06-26
Просмотров: 143
Kueleka mbio za mwenye wa uhuru Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, Mkuu wa Wilaya hiyo, Michael John Semindu amewataka vijana na wananchi katika Halmashauri zote mbili za mbulu kujitokeza katika kuupokea mwenge huo wa Uhuru unaotarajiwa kupokelewa wilayani humo Julai 16 katika halmashauri ya mbulu Tc.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: