UFUGAJI WA NYUKI KIBIASHARA - MTAJI, MASOKO NA KWA NINI UFUGE NYUKI/MAMBO YA KUZINGATIA -PART 1
Автор: AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Загружено: 2024-11-23
Просмотров: 1990
Pengine unahitaji kufuga nyuki kwa ajili ya kuzalisha asali,nta,chavua,sumu ya nyuki na maziwa ya nyuki. Sasa mtaji wa chini kabisa ni shilingi ngapi, kwa nini ufuge nyuki na siyo kuku ? Nini mahitaji ya lazima? Masoko yapo wapi ya asali,chavua,nta,sumu ya nyuki na maziwa ya nyuki? Kipindi hiki cha KILIMO MEZANI juu ya UFUGAJI WA NYUKI KIBIASHARA kitajibu maswali yako yote kuhusu ufugaji wa nyuki wanaouma na wasiouma.
Usisitize kuuliza swali au kutuandikia maoni yako chini ya video hii .Unaweza pia kuwasiliana nasi kwa WhatsApp +255 757 757 968 kwa ajili ya mafunzo zaidi na ukiwa utahitaji kutembelea mashamba ya ufugaji wa nyuki kwa ajili ya kujifunza zaidi ;karibu milango ipo wazi kabisa.
Unaweza pia kutuandikia kwa Email:[email protected].
KUJIFUNZA KILIMO/UFUGAJI;KUUZA NA KUNUNUA MAZAO YA KILIMO NA MIFUGO tembelea: www.aje-farms.com
See you there !
#MASHAMBAYANAYOTYEMBEA
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: