Mzaha mmoja unaweza kukutoa katika Uislam bila kujua — Tahadhari na Koma kucheza na Dini yako.
Автор: Manhaj Online TV
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 623
Je, unajua kuwa mzaha mmoja tu unaweza kuharibu Dini yako yote?
Katika video hii, Sheikh Ilyasaa Juma anazungumzia hatari ya kufanya Mzaha na Dini, na athari ya maneno tunayoyatamka bila kufikiri.
🌍 Fuatilia darsa nyingine kupitia: @ManhajOnlineTV
🔗 Jiunge nasi kwa mitandao ya kijamii:
Facebook | Instagram | Telegram | WhatsApp
Tafadhali shiriki kwa kueneza mawaidha haya kwa wengine, nawe utakuwa sehemu ya kuisaidia Da’wah kwa njia ya kheri.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: